Katibu
Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji,Prof Kitila Mkumbo akitia saini
katika kitabu cha wageni alipotembelea Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa
Mazingira mjini Moshi (MUWSA) kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa Maji
katika kijiji cha Newland.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Joyce
Msiru akizungumza wakati wa utamburisho wa wajumbe wa Bodi ya Mamlaka
hiyo kwa katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji,Prof Kitila Mkumbo
alipotembelea Mamlaka hiyo.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa MAzingira mjini Moshi (MUWSA) .
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Prof,Kitila Mkumbo katika eneo la Shabaha kwa ajili ya uzinduzi wa tanki
la Maji linalohifadhi maji kwa ajili ya wakazi wa kijiji cha Newland.
Tenki la kuhifadhia Maji kwa ajili ya Mradi wa Maji yanayosambazwa katika kijiji cha Newland.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maji na Utalii,Prof Kitila Mkumbo akizindua tenki la
Maji katika eneo la Shabaha kwa ajili ya wakazi wa kijiji cha
Newland.kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakuruenzi wa Mamlaka ya Maji
safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Prof Faustine Bee na
kushoto mwa katbu Mkuu ni Mjumbe wa Bodi hiyo ,Bi Hajira Mmambe.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji ,Prof Kitila Mkumbo akiwabebesha
maji wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Newland mara baada ya
kuzindua mradi wa maji katika eneo hilo.
Diwani
wa kata ya Mabogini kilipo kijiji cha Newland ,Emanuel Mzava
akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa maji katika kijiji
hicho ambacho wakazi wake wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya
upatikanaji wa huduma ya maji katika kijiji hicho.
Baadhi
ya Viongozi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Maji safi na Usafi wa
Mazingira mjini Moshi (MUWSA) wakiwa katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa MUWSA wakiwa katika uzinduzi huo.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi ,(MUWSA) Joyce
Msiru akitoa taarifa ya Mamlaka hiyo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na
Umwagiliaji ,Prof ,Kitila Mkumbo (Hayupo pichani) alipofanya uzinduzi wa
mradi wa maji katika kijiji cha Newland.
Mkurugenzi MUWSA ,Joyce Msiru akikabidhi taarifa kwa katibu Mkuu Wizara ya maji na Umwagiliaji Prof Kitila Mkumbo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira
mjini Moshi (MUWSA) Prof ,Faustine Bee akizungumza kaika uzinduzi huo.
Mjumbe
wa Bodi a Wakurugenzi wa MAMLAKA YA mAJI SAFI NA uSAFI WA mazngira
mjini Moshi(MUWSA) Hajira Mmambe akisalimia wakati wa uzinduzi wa mradi
wa maji wa katika kijiji cha Newland.
Katibu
tawala mkoa a Kilimanjaro na Mjumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na
Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Mhandisi ,Aisha Amour akitoa
salamu wakati wa uzinduzi wa mradi huo.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Prof Kitila Mkumbo akizungumza
wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji safi katika kijiji cha Newland
kilichopo kata ya Mabogini wilaya ya Moshi.
Mmoja wa wakazi wa kijiji cha Newland akicheza kwa furaha baada ya maji kuanza kutoka katika kijiji hicho.
Kikundi
cha Burudani cha Msanja kikitoa burudani wakati wa uzinduzi wa mradi wa
majisafi katika kijiji cha Newland kilichopo kata ya Mabogini wilaya ya
Moshi.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.
EmoticonEmoticon