Rais
wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akiwasalimia wananchi wa
Mji wa Ngara kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa
Posta Mjini Ngara 20 Julai 2017
Rais
wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza Akihutubia wananchi wa
Mji wa Ngara kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa
Posta Mjini Ngara Mkoani Kagera 20 julai 2017
Rais
wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza mara baada ya Rais
wa Burundi kuwahutubia wananchi wa Mji wa Ngara kwenye Mkutano wa
Hadhara uliofanyikakatika Uwanja wa Posta Mjini Ngara 20 julai 2017
Rais
wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mji wa Ngara kwenye Mkutano wa Hadhara
uliofanyika katika Uwanja wa Posta Mjini Ngara Mkoani Kagera 20 Julai
2017
Umati
wa ananchi wa mji wa Ngara waliohudhulia katika uwanja wa posta mjini
Ngara kusikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli katika uwanja wa posta mjini Ngara julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea
Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza mara baada ya
kuwasili katika viwanja vya Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai
20,2017
Rais
wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akiwapungia wananchi
alipowasili katika viwanja vya Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai
20,2017
Rais
wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mji wa Ngara kwenye Mkutano wa Hadhara
uliofanyika katika Uwanja wa Posta Mjini Ngara Mkoani Kagera 20 Julai
2017
Rais
wa Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akikagua graride la lililoandaliwa na
jeshi la ulinzi la Tanzania JWTZ katika viwanja vya Lemela mjini Ngara
Mkoani Kagera Julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mgeni wake Rais wa Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza mara baada ya Kumpokea
katika Uwanja vya Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akiwasalimia wananchi
wa Mji wa Ngara kwenye uwanja wa Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai
20,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta
Jambo na Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza Mara baada
ya kumpokea katika Mji wa Ngara kwenye uwanja vya Lemela mjini Ngara
Mkoani Kagera Julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza kwa
maongezi mjini Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa
Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza pamoja na mama Janeth
Magufuli katika Maongezi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
ujumbe wake katika mazungumzo maalum ya kiserikali na Rais wa Jamuhuri
ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza na ujumbe wake Mjini Ngara Mkoani
Kagera Julai 20,2017
Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
mgeni wake Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza katika
uwanja wa Lemela Mjini Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017 baada ya
kumaliza ziara yake Rasmi ya kiserikali Nchini.
Chanzo:Ikulu Blog
Chanzo:Ikulu Blog
EmoticonEmoticon