Mambo yanazidi kuwa mazuri kwa wanaoenda na wakati
kadri siku zinavyo zidi kwenda kufuatia ukuaji wa kitekenolojia siku
hadi siku, hali hii inazidi kuleta manufaa na msukumo mkubwa wa kimaendeleo
Duniani hasa kwa kurahisisha vyanja za utendaji kazi katika biashara.
Dar es salaam Kampuni ya Candy and Candy imekuja kivingine msimu
huu wa Ramadhan kwa kutumia mfumo mpya tulio uanzisha wa kiteknolojia
“Nikohub”tumeanza mchakato wa kufuturisha watu 100 kila siku kwa
muda wa siku kumi.
Ili upate kushiriki Futari unatakiwa ku-download Nikohub kwenye
Play Store katika simu yako. Kisha jiunge ili tuweze kukuona kwenye
mfumo wetu na uingie kwenye list ya watu 100 watakao kula futari leo.
Ukifanikiwa ku-downloda tutumie SMS au piga 0765802457 tukuelekeze
sehemu ya kwenda kula futari maeneo ya huko uliko ni bure!.
EmoticonEmoticon