Naibu Waziri Ofisi ya
Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina katikati, akiongea
wakati wa kupokea taarifa ya ujenzi wa jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais
kutoka kwa mwakilishi wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) Injinia Mtapuli
Juma (hayupo katika Picha) katika Ofisi hiyo Mtaa wa Luthuli Jijini
Dar es Salaam Leo, kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Muungano wa Ofisi
Hiyo Bw. Baraka Baraka.
Injinia Mtapuli Juma kutoka wakala wa majengo nchini (TBA) akiwasilisha taarifa ya jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais leo katika ofisi hiyo jijini Dar es Salaam |
Kushoto Mkurugenzi wa
Manunuzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Monica Kasuma akiongea jambo
katika kikao cha kupokea Taarifa ya Ujenzi wa Jengo la Ofisi hiyo Jijini
Dar es Salaam Leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Ofisi
hiyo Bi Mary Fidelis ( Picha na Evelyn Mkokoi w Ofisi ya Makamu wa Rais.)
Sehemu ya Washiki katika
Picha wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa ya jengo la Ofisi ya Makamu
wa Rais katika kikao kilichofanyika Ofisini hapo jijini Dar es Salaam
leo.
EmoticonEmoticon