Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro (kushoto) akizungumza na maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi
alipofanya kikao na maafisa hao akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani
Zanzibar kabla ya kwenda kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa,
Ali Mohamed Shein. Kulia ni Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Hamdani
makame. Picha na Hassan Mndeme.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro akisalimiana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya
zanzibar alipokwenda kufanya kikao na kamati hiyo akiwa kwenye ziara ya
kikazi visiwani Zanzibar. IGP alikwenda pia kujitambulisha kwa Rais wa
Zanzibar mheshimiwa, Dk Ali Mohamed Shein. Picha na Hassan Mndeme.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro akizungumza na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya
zanzibar alipokwenda kufanya kikao na kamati hiyo akiwa kwenye ziara ya
kikazi visiwani Zanzibar. IGP alikwenda pia kujitambulisha kwa Rais wa
Zanzibar mheshimiwa, Dk Ali Mohamed Shein. Picha na Hassan Mndeme.
EmoticonEmoticon