Benki
ya CRDB ndio benki yenye huduma bora Tanzania kuliko benki nyingine
yoyote, imeendeleo kuonyesha kuwajali Watanzania ambapo Menejmenti na
Wafanyakazi wa CRDB Bank Tawi la Azikiwe Premier, la jijini Dar es
Salaam, wameadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika, kwa kuwakumbuka watoto
wanaoishi katika mazingira magumu, kwa kuwatembelea watoto wanaotunzwa
katika kituo cha Jeshi la Wokovu kwa kuwapelekea zawadi mbalimbali za
mahitaji muhimu, na kuwadhamini baadhi yao kwa kuwafungulia akaunti,
kuwachangia, kugharimia elimu zao, na kugharimia mahitaji yao.
Wafanyakazi wa CRDB BANK, tawi la Azikiwe Premier, wakikabidhi zawadi
mbalimbali kwa watoto wanaotunzwa katika kituo cha watoto wanaoishi
katika mazingira magumu cha Jeshi la Wokovu, Kurasini jijini Dar es
Salaam, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ilioadhimishwa
na benki hiyo kwa wiki nzima sasa.
Mfanyakazi wa CRDB BANK, tawi la Azikiwe Premier, akikabidhi zawadi
mbalimbali kwa watoto wanaotunzwa katika kituo cha watoto wanaoishi
katika mazingira magumu cha Jeshi la Wokovu, Kurasini jijini Dar es
Salaam, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ilioadhimishwa
na benki hiyo kwa wiki nzima sasa.
Mkurugenzi
na wafanyakazi wa CRDB Bank, Tawi la Azikiwe Premier, kwenye picha ya
pamoja na mtoto Mariam Stephen Jackson, aliyekuwa akiishi katika
mazingira magumu. Marriam pia amefunguliwa akauti maalum ya watoto ya
benki hiyo iitwayo Junior Jumbo,ambayo wafanyakazi wa Tawi hilo la
Azikiwe Premier, wananchangia kugharimia elimu yake. Sherehe hiyo
imefanyika wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa
ilioadhimishwa na benki hiyo kwa wiki nzima sasa.
Mkurugenzi na wafanyakazi wa CRDB Bank, Tawi la Azikiwe Premier, wakiwa
na keki ya mtoto Mariam Stephen Jackson, aliyekuwa akiishi katika
mazingira magumu. Marriam pia amefunguliwa akauti maalum ya watoto ya
benki hiyo iitwayo Junior Jumbo,ambayo wafanyakazi wa Tawi hilo la
Azikiwe Premier, wananchangia kugharimia elimu yake. Sherehe hiyo
imefanyika wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa
ilioadhimishwa na benki hiyo kwa wiki nzima sasa.
Mkurugenzi wa CRDB Bank, Tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Musula, na
wafanyakazi wa tawi hilo, na wateja, wakionyesha fedha walizomchangia
mtoto Mariam Stephen Jackson, aliyekuwa akiishi katika mazingira magumu.
Marriam pia amefunguliwa akauti maalum ya watoto ya benki hiyo iitwayo
Junior Jumbo,ambayo wafanyakazi wa Tawi hilo la Azikiwe Premier,
wananchangia kugharimia elimu yake. Sherehe hiyo imefanyika wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa ilioadhimishwa na benki hiyo kwa
wiki nzima sasa.
Mkurugenzi na wafanyakazi wa CRDB Bank, Tawi la Azikiwe Premier,
wakikata keki na mtoto Mariam Stephen Jackson, aliyekuwa akiishi katika
mazingira magumu. Marriam pia amefunguliwa akauti maalum ya watoto ya
benki hiyo iitwayo Junior Jumbo,ambayo wafanyakazi wa Tawi hilo la
Azikiwe Premier, wananchangia kugharimia elimu yake. Sherehe hiyo
imefanyika wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa
ilioadhimishwa na benki hiyo kwa wiki nzima sasa.
Mkurugenzi wa CRDB Bank, Tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Musula,
akimlisha keki mtoto Mariam Stephen Jackson, aliyekuwa akiishi katika
mazingira magumu. Marriam pia amefunguliwa akauti maalum ya watoto ya
benki hiyo iitwayo Junior Jumbo,ambayo wafanyakazi wa Tawi hilo la
Azikiwe Premier, wananchangia kugharimia elimu yake. Sherehe hiyo
imefanyika wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa
ilioadhimishwa na benki hiyo kwa wiki nzima sasa.
Mkurugenzi
wa CRDB Bank, Tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Musula, akimlisha keki
mtoto Mariam Stephen Jackson, aliyekuwa akiishi katika mazingira magumu.
Marriam pia amefunguliwa akauti maalum ya watoto ya benki hiyo iitwayo
Junior Jumbo,ambayo wafanyakazi wa Tawi hilo la Azikiwe Premier,
wananchangia kugharimia elimu yake. Sherehe hiyo imefanyika wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa ilioadhimishwa na benki hiyo kwa
wiki nzima sasa.
Mtoto Theresia Wilson Amulungi,akionyesha kibubu chake alichotunzia
fedha anazopewa kwa matumizi. Sasa Theresia amefunguliwa akauti maalum
ya watoto ya benki hiyo iitwayo Junior Jumbo. Sherehe hiyo imefanyika
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa ilioadhimishwa na benki
hiyo kwa wiki nzima sasa.
Mmoja wa wateja wa Benki ya CRDB, Tawi la Azikiwe Premier, Deogratias
Lazaro Shija, akikata kibubu cha mtoto Theresia Wilson
Amulungi,aliyezitunza kwenye kibubu. Sasa Theresia amefunguliwa akauti
maalum ya watoto ya benki hiyo iitwayo Junior Jumbo. Sherehe hiyo
imefanyika wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa
ilioadhimishwa na benki hiyo kwa wiki nzima sasa.
Mmoja
wa wateja wa Benki ya CRDB, Tawi la Azikiwe Premier, Deogratias Lazaro
Shija, akihesabu fedha kwenye zilizohifadhiwa kwenye kibubu cha mtoto
Theresia Wilson Amulungi,aliyezitunza kwenye kibubu. Sasa Theresia
amefunguliwa akauti maalum ya watoto ya benki hiyo iitwayo Junior Jumbo.
Sherehe hiyo imefanyika wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa
Africa ilioadhimishwa na benki hiyo kwa wiki nzima sasa.
Mmoja
wa wateja wa Benki ya CRDB, Tawi la Azikiwe Premier, Deogratias Lazaro
Shija, akikabidhi fedha zilizohifadhiwa kwenye kibubu cha mtoto Theresia
Wilson Amulungi, aliyezitunza kwenye kibubu. Sasa Theresia amefunguliwa
akauti maalum ya watoto ya benki hiyo iitwayo Junior Jumbo. Sherehe
hiyo imefanyika wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa
ilioadhimishwa na benki hiyo kwa wiki nzima sasa.
Mkurugenzi wa CRDB Bank, Tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Musula,
akionyesha fedha zilizochangwa kumuongezea mtoto Theresia Wilson
Amulungi, baada ya kutunza fedha kwenye kibubu. Sasa Theresia
amefunguliwa akauti maalum ya watoto ya benki hiyo iitwayo Junior Jumbo.
Sherehe hiyo imefanyika wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa
Africa ilioadhimishwa na benki hiyo kwa wiki nzima sasa
Mmoja wa wateja wa Benki ya CRDB, Tawi la Azikiwe Premier, Deogratias
Lazaro Shija, akikata keki na baadhi ya watoto waliofunguliwa akauti
maalum ya watoto ya CRDB Bank, iitwayo Junior Jumbo, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa ilioadhimishwa na benki hiyo kwa
wiki nzima sasa
Baadhi ya watoto waliofunguliwa akauti maalum ya watoto za benki ya CRDB
iitwayo Junior Jumbo, wakionyesha Tembo Card za akaunti zao, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa ilioadhimishwa na benki hiyo kwa
wiki nzima sasa
Mmoja wa wateja wa Benki ya CRDB, Tawi la Azikiwe Premier, Deogratias
Lazaro Shija, akikabidhi zawadi kwa baadhi ya watoto waliofunguliwa
akauti maalum ya watoto ya CRDB Bank, iitwayo Junior Jumbo, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Africa ilioadhimishwa na benki hiyo kwa
wiki nzima sasa
Watoto
mbalimbali waliofunguliwa akaunti za Junior Jumbo kwenye benki ya CRDB,
tawi la Azikiwe Premier wakionyesha zawadi mbalimbali walizopewa,,
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ilioadhimishwa na benki
hiyo kwa wiki nzima sasa.
Wafanyakazi wa CRDB BANK, tawi la Azikiwe Premier, wakiwa na watoto
waliofunguliwa akaunti za Junior Jumbo kwatika tawi hilo, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ilioadhimishwa na benki hiyo kwa
wiki nzima sasa.
Mkurugenzi wa CRDB Bank, Tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Musula,
akikata keki na baadhi ya watoto waliofunguliwa akauti maalum ya watoto
ya benki hiyo iitwayo Junior Jumbo, wakati wa maadhimisho ya Siku ya
Mtoto wa Africa ilioadhimishwa na benki hiyo kwa wiki nzima sasa.
EmoticonEmoticon