Mkuu wa
Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akizungumza katika maadhimisho ya siku
ya Mazingira Duniani,yaliyofanyika viwanja vya Mnazi mmoja,jijini Dar es
Salaam leo.
Mkuu wa
Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akikabidhi cheti kwa Mwandishi wa ITV ,
Benjamini Mzinga kuwa mmoja wa wadau makini katika utunzaji wa
Mazingira
Naibu
Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akizungumza katika mkutano
wa kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika katika viwanja
vya mnazi mmoja wa Dar es Salaam
Mkuu wa
Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akikabidhi cheti cha kuwa mtunzaji bora
wa mazingira katika Manispaa ya Ilala kwa Mwanahabari mkongwe nchini
kutoka shirika la utangazaji TBC, Selemani Mkufya
Mkuu wa
Wilaya ya Ilala , Sophia Mjemai kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa
Osterbay Zefrin Lubuva kuwa mshindi wa Mazingira
Mkuu wa Wilaya ya Ilala akiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam na Watoto wa jeshila wokovu
Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akikagua mabanda ya taasisi mbalimbali
EmoticonEmoticon