Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akihitimisha
mjadala wa Bajeti ya Wizara yake ambapo Bunge limepitisha Makadirio ya
Mapato na Matumizi ya shilingi trilioni 11.752 kwa Mwaka wa Fedha
2017/2018.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto) na
Naibu wake Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), wakifuatilia kwa makini hoja
mbalimbali za Wabunge wakati wakijadili Bajeti ya Wizara hiyo Bungeni
Mjini Dodoma, ambapo Bunge hilo limepitisha Bajeti ya shilingi trilioni
11.752 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt.
Philip Isdor Mpango (Mb) ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, baada
ya wabunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akimpongeza Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt.
Ashatu Kijaji (Mb) ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, baada ya
Wabunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo ya jumla ya shilingi trilioni
11.752 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
Mkurugenzi
wa Idara ya Mipango-Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Richard Mkumbo
(kulia), akipongezana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la
Taifa, Bw. Samwel Kamanga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma baada ya
Bunge kupitisha Bajeti ya wizara hiyo.
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto)
akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Babati Vijijini Mhe. Jitu Soni nje ya
Ukumi wa Bunge mara baada ya Wabunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo ya
shilingi trilioni 11.752 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
Gavana
wa Benki Kuu (BOT), Prof. Beno Ndullu (kushoto), akimpongeza Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), baada ya Bunge
kupitisha makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo ya shilingi
trilioni 11.752 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 Mjini Dodoma
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) akipeana mkono na
Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Bw. Mohamed Mtonga, nje ya ukumbi wa
Bunge Mjini Dodoma baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo ya
shilingi trilioni 11.752 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoro)
akimshukuru na kumpongeza Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) kwa
kazi kubwa aliyoifanya katika kusimamia na kuhakikisha kuwa Bajeti ya
Wizara hiyo inaandaliwa kwa viwango vya juu na hatimaye kupitishwa na
Bunge Mjini Dodoma ambapo Wizara hiyo imeidhinishiwa kukusanya nakutumia
shilingi trilioni 11.752 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa saba kutoka
kushoto mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu
wa Wizara na Taasisi zilizochini ya Wizara hiyo nje ya ukumbi wa Bunge
Mjini Dodoma baada ya kuhitimishwa kwa mjadala wa bajeti wa Wizara hiyo.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango)
EmoticonEmoticon