Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma alipowasili katika
viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja jana katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika
Skuli za Serikali za Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein
(katikati) wakifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) walipokuwa wakiingia katika Ukumbi wa
zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja jana katika
hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za
Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein
(katikati) wakiwa na Viongozi mbali mbali katika hafla ya uchangiaji wa
Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika
jana katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja
Mjini Unguja akiwepo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mzee Ali Hassan Mwinyi (wa pili kulia),[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Viongozi na Wafanyabiashara mbali
mbali wakiwa katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
Mmoja Mjini Unguja wakiwa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo
katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika mgeni
rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Baadhi ya wawakilishi wa
Makampuni ya kibiashara wakiwa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo
katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa
zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja mgeni rasmi
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Mfanyabishara wa Zanzibar Said
Bophar alipokuwa akitangaza mchango wake mbele ya uuma uliokusanyika
katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja wakati wa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli
za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana, mgeni rasmi akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Mwakilishi wa Mamlaka ya Maji
safi na Salama ZAWA Nd,Kazija Mussa Msheba akitangaza mchango wao wa
Millioni tano wakati wa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika
Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana,katika ukumbi wa zamani
wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja ambapo mgeni rasmi
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Mhe.Riziki Pembe Juma alipokuwa akitangaza mchango wake wa Milioni
moja kumdhamini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo
katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja
vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein alipokuwa akitangaza mchango wa Millioni nane kwa niaba
ya familia yake kumdhamini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa mgeni rasmi katika hafla
ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar
iliyofanyika jana katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Picha ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipiga mpira
wakati wa Uzinduzi wa Mashindano ya Vyuo Vikuu ikinadisha wakati wa
hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za
Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
20/05/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe Mama
Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi pia Mwenyekiti wa Kamati ya
Uchangiaji Vifaa vya Michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar
Mhe.Mohamed Ramia wakiangalia picha ya zamani wakati Dk.Shein alivyokuwa
akishiriki mchezo wa Riadha katika Skuli ya Lumumba picha hiyo
iliyofikishwa katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika
Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja vya
Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
EmoticonEmoticon