Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni
 wakizungumza kabla ya zoezi la kutia saini tamko la pamoja la 
kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa 
mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi
 Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es 
salaam leo Mei 21,PICHA NA IKULU
Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni
 na wajumbe zao katika mazungumzo ya mwisho  kabla ya kutia saini tamko 
la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa 
utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima 
nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu
 jijini Dar es salaam leo Mei 21, 2017

 wakitia saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na 
vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la 
mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania 
katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 21, 2017. 

Wanasheria wakuu wa Uganda na Tanzania wakiweka ushuhuda wa tamko hilo
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akiongea baada ya yeye na Rais Dkt 
John Pombe Magufuli  wa Tanzania kukamuilisha   zoezi la utiaji saini 
tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba 
wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima 
nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu
 jijini Dar es salaam leo Mei 21, 2017
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akiongea baada ya yeye na Rais Dkt 
John Pombe Magufuli  wa Tanzania kukamuilisha   zoezi la utiaji saini 
tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba 
wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima 
nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu
 jijini Dar es salaam leo Mei 21, 2017
 Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea baada ya yeye na Rais wa Uganda 
Mhe. Yoweri Museveni kukamilisha zoezi la utiaji saini tamko la pamoja 
la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa
 mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda 
hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
 salaam leo Mei 21, 2017

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda 
Mhe. Yoweri Museveni wakipongezana  baada ya kukamilika zoezi la utiaji 
saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya 
mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi 
kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla 
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 21, 2017
Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda 
Mhe. Yoweri Museveni wakiwa na Mawaziri na  maafisa waandamizi wa pande 
zote mbili baada ya kukamilika zoezi la utiaji saini tamko la pamoja la 
kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa 
mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi
 Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es 
salaam leo Mei 21, 2017
Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni 
wakiwa na watendaji wa pande zote mbili baada ya kukamilika zoezi la 
utiaji saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele 
vya mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi 
kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla 
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 21, 2017

EmoticonEmoticon