Gari nane (8) aina ya Dyna
zilizonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini Mhe.Col.Mstaafu Masoud
Khamis ambazo leo amezikabidhi kwa Chama cha Mapinduzi
CCM zitakazotumika na kutoa huduma katika Matawi ya Chama cha CCM katika
jimbo hilo,ambazo zimegharimu jumla ya shilingi za kitanzania Millioni
Mia moja na Tisiini na Mbili,[Picha na Ikulu] 23/o4/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali
Mohamed Shein akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini
Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis alipowasili katika viwanja vya Z. Ocean
Hoteli iliyopo Kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe za
Uzinduzi wa Mradi wa Gari nane (8) za Chama cha Mapinduzi CCM ikiwa ni
ahadi ya Mbunge wa jimbo hilo, [Picha na Ikulu] 23/o4/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali
Mohamed Shein akiwapungia mkono wanaCCM wa Jimbo la Mfenesini wakati
alipowasili katika viwanja vya Z. Ocean Hoteli iliyopo Kihinani Jimbo
la Mfenesini Wilaya ya Magharibi leo katika sherehe za Uzinduzi wza
Mradi wa Gari nane(8) za CCM zilizotolewa na Mbunge wa jimbo hilo
Col.Mstaafu Masoud Khamis,ikiwa ni ahadi ya kwa Wananchi, [Picha na
Ikulu] 23/o4/2017.
Baadhi ya Viongozi na Wanachama
wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Mfenesini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika sherehe
za Uzinduzi wa Mradi wa Gari Nane (8)za CCM zilizokabidhiwa leo kwa
Rais ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa jimbo hilo Col.Mstaafu Masoud
Khamis,ikiwa ni ahadi ya kwa Wananchi hafla iliyofanyika katika ukumbi
wa Z. Ocean Hoteli iliyopo kihinani Jimbo la Mfenesini,[Picha na
Ikulu] 23/o4/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali
Mohamed Shein akipokea kadi za Gari Nane (8) aina ya Dayna ambazo Rais
amezindua Mradi huo wa CCM zitakazotumika katika Matawi ya Chama Jimbo
la Mfenesini,Gari hizo ini ahadi aliyoitoa Mbunge
Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis katika ukumbi wa Hoteli ya Z. Ocean
iliyopo kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe Jimboni humo,
[Picha na Ikulu] 23/o4/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali
Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati sherehe ya Uzinduzi
wa Mradi wa Gari 8 za Chama cha Mapinduzi CCM zilizotolewa na Mbunge wa
Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Maoud Khamis ikiwa ni ahadi yake
aliyoitoa kwa jimbo,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Z.Ocean
Kihinani Wialaya nya Magharibi Unguja, [Picha na Ikulu] 23/o4/2017.

Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa
Gari Nane(8) ya CCM aina ya Dyna ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa CCM wa
Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Masoud Khamis (wa pili kulia) katika
viwanja vya Z. Ocean Hotel iliyopo kihinani Wilaya ya Magharibi Jimbo
la Mfenesini leo, [Picha na Ikulu] 23/o4/2017.
EmoticonEmoticon