Naibu Waziri Mpina akiwaasa wasimamizi wa mradi wa upandaji na utunzaji
mikoko katika delta ya kaskazini Rufiji hawapo pichani wamueleze ukweli
kuhusu matumizi ya fedha na hali halisiya mradi kabla ya kwenda kukagua
upandaji, utunzaji wa mikoko na uharibifu wa mazingira.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga
Mpina na ujumbe wake wakiwa katika Boat, wakielekea katika ukaguzi wa
upandaji na utunzaji wa Mikoko, pamoja na uharibifu wa Mazingira katika
Delta ya Rufiji Kaskazini.
Naibu Waziri Mpina (kaikati) na Ujumbe wake katika picha wakitembea
kukagua mikoko iliyopandwa katika Delta ya Kaskazini Rufiji.
Naibu Waziri Mpina akiwaasa wasimamizi wa mradi wa upandaji na utunzaji
mikoko katika delta ya kaskazini Rufiji hawapo pichani wamueleze ukweli
kuhusu matumizi ya fedha na hali halisiya mradi kabla ya kwenda kukagua
upandaji, utunzaji wa mikoko na uharibifu wa mazingira.
EmoticonEmoticon