Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto), na
mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K.
Gasana, wakibadilishana hati ya makubaliano yenye mkakati wa kuhakikisha
nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda, zinakuwa salama hususan maeneo
ya mipakani na hata kwenye barabara zote zinazotumiwa na
wafanyabiashara, IGP Mangu, pamoja na ujumbe wake amefanya ziara ya
kikazi nchini humo jana.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu, akiwa na mwenyeji wake
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, wakati
akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja nchini humo jana, yenye lengo
la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika
kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la
kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (mbele kushoto) akitoa
neno mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K.
Gasana, pamoja na ujumbe alioongozana nao nchini humo jana, katika ziara
ya kikazi yenye lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na
kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan
maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili
ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akimsikiliza
mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K.
Gasana, akitoaneno mbele ya wajumbe kutoka Tanzania (hawapo pichani) IGP Mangu, yupo nchini Rwanda, kwa ziara ya siku moja yenye
lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja
katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa
lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akimsikiliza
mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K.
Gasana, akitoa neno mbele ya wajumbe kutoka Tanzania (hawapo pichani) IGP Mangu, yupo nchini Rwanda, kwa ziara ya siku moja yenye
lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja
katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa
lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akipokea zawadi
kutoka kwa mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP)
Emmanuel K. Gasana, mara baada ya kuitimisha ziara yake ya kikazi ya
siku moja jana, yenye
lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja
katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa
lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda. (Picha zote na Demetrius Njimbwi- Jeshi la Polisi Tanzania)
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu (Kushoto), akiwasili
nchini Rwanda, na kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi
Nchini humo, (IGP) Emmanuel K. Gasana (Kulia) wakati akiwa katika ziara
ya kikazi ya siku moja jana, yenye lengo la kuimarisha mahusiano,
kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na
wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya
nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
EmoticonEmoticon