RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUTA AGIZO LA KUFUNGA NDOA KWA SHARTI LA KUWA NA CHETI CHA KUZALIWA

March 17, 2017
RaiswaJamhuriyaMuunganowaTanzania Mhe. Dkt. John Pombe MagufuliakizungumzanaWanahabariMkoani Dodoma kuhusiana nakufutaagizolililotolewajananaWaziriwaKatibanaSheriakuhusuWananchiwanaohitajikufungandoakuanziamwezi Mei mwakahuukuwanavyetivyakuzaliwa.


RaisMhe. Dkt. Magufuli ameagiza utaratibu wa awali uendelee kutumika kwasababuwananchiwengiwa Tanzania hawanavyeti, hivyowangekosahakihiyoyakufungandoa. Kushoto kwake ni MkuuwaMkoawa Dodoma Jordan Rugimbana. PICHA NA IKULU

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »