Mke wa Marehemu Sir Georeg Kahma, Janeth Kahama akiaga mwili wa Mumewe katika ukumbi Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiaga Mwili wa Marehemu Sir George Kahama
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu ,
Benjamini Mkapa akitoa pole kwa watoto wa Marehemu Sir George Kahama
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama.
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye akiaga Mwili wa Marehemu Sir George Kahama.
Waziri mkuu Mstaafu, Salim Ahmed
Salim akiaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Spika Mstaafu wa Bunge , Anna Makinda akitoa pole kwa wanafamilia ya Marehemu Sir George Kahama.
Kiongozi wa kambi ya upinzani
Bungeni , Freeman Mbowe akiaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Mtoto wa Marehemu Sir George Kahama akiaga mwili wa babake
Sehemu ya ndugu wa familia wakiaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward
Lowasa akitoa pole kwa watoto Marehemu Sir George Kahamakatika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Mawaziri wakuu wa Staafu pamoja na wake zao wakiwa katika msiba huo kwa uhuzuni
Marais Wastaafu na wake zao wakiwa wanatafakari kabla ya kuaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama.
Mawaziri wakuu wastaafu
wakitafakari jambo kabla ya kuaga Mwili wa Marehemu Sir George Kahama
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
EmoticonEmoticon