Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Katibu Mkuu
Wizara ya Afya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Bi. Sihaba
Nkinga ofisini kwake, Ikulu jijini Dares Salaam.
Nkinga ofisini kwake, Ikulu jijini Dares Salaam.
(Picha kwa Hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (kushoto) na Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Bi. Sihaba Nkinga (kulia) ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam.
(Picha kwa Hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais)
EmoticonEmoticon