Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jenerali
Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania, Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali
James Mwakibolwa kuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Ikulu jijini
Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali Paul Meela
kuwa Balozi nchini DRC Congo, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali Paul Meela
kuwa Balozi nchini DRC Congo, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu mpya
wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya tukio la
uapisho lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed
Shein akizungumza mara baada ya tukio la Uapisho wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
ya Tanzania pamoja na Viongozi mbalimbali
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza masuala mbalimbali mara baada ya kumuapisha Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi pamoja viongozi wengine wa Jeshi na Mabalozi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest
Mangu mara baada ya tukio la Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Nyakimura Muhoji kuwa Katibu
wa Tume ya Utumishi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein (watatu kutoka kushoto), Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa wanne kutoka (kulia) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
(wakwanza kushoto), Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Venance
Mabeyo(watatu kutoka kulia ), Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Luteni
Jenerali James Mwakibolwa (wapili kutoka kushoto), Kamishna Jenerali wa Magereza Juma Malewa(wapili
kutoka kulia) pamoja na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma(wakwanza
kulia) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimvisha cheo Luteni Jenerali Venance Mabeyo kuwa Jenerali kabla ya kumuapisha
kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi kwenye Ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es
salaam.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimvisha cheo Meja Jenerali James Makibolwa kuwa Luteni Jenerali kabla
ya kumuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi kwenye Ukumbi wa mikutano
wa Ikulu jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon