Rails
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Thobias
Andengenye kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi
Pindi Chana kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya, tukio lililofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi
Silima Kombo Haji kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sudani, Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi
Abdallah Kilima kuwa Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi
Matilda Masuka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Ikulu jijini Dar es
Salaam
KIAPO…Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Thobias Andengenye akila kiapo cha Ahadi ya Uadilifu pamoja na Mabalozi Pindi
Chana, Balozi Silima Kombo Haji, Abdallah Kilima pamoja na Balozi Matilda
Masuka mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu
Kasim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi (wapili kutoka
kushoto), Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mwigulu Nchemba(Wakwanza kulia) ,
Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Hamad Masauni (Wakwanza kushoto) pamoja na Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye(Watatu kutoka
kushoto waliosimama mstari wa nyuma) na Mabalozi Pindi Chana(Wakwanza kulia
walisimama mstari wa nyuma ) , Balozi Matilda Masuka(Wapili kutoka kulia
waliosimama mstari wa nyuma), Balozi Abdallah Kilima(Wapili kutoka kushoto
mstari wa nyuma) na Balozi Silima Kombo Haji (Wakwanza kushoto waliosimama)
mara baada ya tukio la Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU








EmoticonEmoticon