Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana
na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke aliyefika Ikulu kwa
ajili ya Mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika
Mazungumzo na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Bhaswar
Mukhopadhyay aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza
na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Bhaswar
Mukhopadhyay Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na
Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Bhaswar
Mukhopadhyay mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega mara baada ya
kuwasili Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana
na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko
aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat
Mfumukeko Ikulu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa
amemshika mkono Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Balozi Augustine Mahiga wakati akijadiliana jambo na Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko mara baada
ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akifurahia
jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi
Augustine Mahiga mara baada ya kumaliza mazungumzo na Katibu Mkuu wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon