Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mfano wa Boarding Pass kutoka kwa Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mahandisi Edwin Ngonyani
kabla ya kusafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)
kutoka uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere, Dar es salaam
kwenda Dodoma Januari 16, 2017. Alikuwa akizindua safari za ndege za
shirika hilo kati ya viwanja viwili hivyo.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Ndege
la Tanzania (ATCL) kabla ya kupanda ndege ya Shirika hilo kwenye uwanja
wa Ngege wa Julius Kambarage Nyerere kwenda Dodoma ikiwa ni uzinduzi wa
safari za ndege za ATCL kati ya viwanja viwili hivyo, Januari 16,
2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisafiri kwa ndege ya Bombardier Q400 ya Shirika
la Ndege la Tanzania (ATCL) kutoka uwanja wa ndege wa Julius Kambarage
Nyerere kwenda Dodoma Januari 16, 2017. Alikuwa akizindua safari za
ndege za ATCL katika viwanja viwili hivyo. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu
wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Leonard Chamuriho.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia viongozi na wananchi wa Dodoma baada
ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitoka uwanja wa ndege wa
Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Januari 16, 2017 ikiwa ni
uzinduzi wa Safari za ndege za Shirika hilo kati ya viwanja viwili
hivi.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenista
Mhagama baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitoka
uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam ikiwa
ni uzinduzi wa safari za ndege za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)
Januari 16, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan
Rugimbana baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitoka
uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam ikiwa
ni uzinduzi wa safari za ndege za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)
kati ya viwanja viwili hivyo, Januari 16, 2016. Wapili kushoto ni
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijan, Ajira na
Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege
la Tanzania (ATCL), Kapteni Richard Shaidi baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa Dodoma akitoka uwanja wa ndege wa Julius Kambarage
Nyerere jijini Dar es salaam ikiwa ni uzinduzi wa safari za ATCL kati ya
viwanja viwili hivyo, Januari 16, 2017. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Leonard Chamuriho. Wapili
kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde
na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Christina Mndeme.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Ngege
ya Tanzania (ATCL) baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma
akitoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ikiwa ni
uzinduzi wa safari za ndege za ATCL kati aya viwanja viwili hivyo,
Januari 16, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, John
Malecela baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitoka
uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ikiwa ni
uzinduzi wa safari za ndege za ATCL kati aya viwanja viwili hivyo,
Januari 16, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge, Job Ndugai baada
ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitoka uwanja wa ndege
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ikiwa ni uzinduzi wa safari za
ndege za ATCL kati aya viwanja viwili hivyo, Januari 16, 2017.
Mtendaji
Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Kapteni Richard Shaidi
akizungumza katika uzinduzi wa safari za ndege za ATCL kati ya Uwnja wa
Julius Kambarage Nyerere na Dodoma,mjini Dodoma Januari 16, 2017.
Uzinduzi huo ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana akizungumza katika uzinduzi wa
safari za ndege za ATCL kati ya Uwnja wa Julius Kambarage Nyerere na
Dodoma,mjini Dodoma Januari 16, 2017. Uzinduzi huo ulifanywa na Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma .
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, akizungumza katika uzinduzi wa safari
za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kati ya uwanja wa ndege wa
Julius Kambarage Nyerere na Dodoma Januari 16, 2017.
Waziri
Mkuu, Mstaafu John Malecela akizungumza katika uzinduzi wa safari za
ndege za ATCL kati ya Uwnja wa Julius Kambarage Nyerere na Dodoma,mjini
Dodoma Januari 16, 2017. Uzinduzi huo ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua safari za ndege za
Shirika la Ndege la Tanzania kati ya uwanja wa Julius Kambarage
Nyerere na Dodoma katika hafla iliyofanyika kwenye uwanja wa ndege wa
Dodoma Januari 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon