Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye
kiwanda cha kuzalishia chuma cha Mjini Tanga cha (Uniqeu Steel Meel) wakati wa
ziara yake ya kukaagua maendeleo ya viwanda mbalimbali jijini hapa ili kuona
namna ya ufanisi wake na changamoto zinazowakabili.
Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kushoto akiteta jambo na mmoja kati ya
wamiliki wa kiwanda cha kuzalisha chuma cha (Uniqeu Steel Meel) wakati wa ziara
yake ya kukaagua maendeleo ya viwanda mbalimbali jijini hapa ili kuona namna ya
ufanisi wake na changamoto zinazowakabili kulia ni Mhasibu wa kiwanda
hicho,Sikander Husein Omari na Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa.
Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella katikati akimsikiliza kwa umakini Mhasibu wa kiwanda cha
chuma cha (Uniqeu Steel Meel),Sikander Hussein Omari wakati wa ziara yake ya kukaagua maendeleo ya
viwanda mbalimbali jijini hapa ili kuona namna ya ufanisi wake na changamoto
zinazowakabili.
Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella katikati
akionyeshwa namna chuma zinavyozalishwa kwenye kiwanda cha Uniqeu Steel Meel)
wakati wa ziara yake ya kukaagua maendeleo ya viwanda mbalimbali jijini hapa
ili kuona namna ya ufanisi wake na changamoto zinazowakabili kushoto ni Mkuu wa
wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa.
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella
katikati akitazama namna chuma zinazozalishwa kwenye kiwanda cha chuma
cha Uniqeu Steel Meel) wakati waa ziara
yake ya kukaagua maendeleo ya viwanda mbalimbali jijini hapa ili kuona namna ya
ufanisi wake na changamoto zinazowakabili.
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella
akitazama namna chuma akiwa amepanda kwenye chuma hizo kuona ubora
wake wakati waa ziara yake ya kukaagua maendeleo ya viwanda
mbalimbali jijini hapa ili kuona namna ya ufanisi wake na changamoto zinazowakabili.
Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella akiangalia ubora wa nondo zinazozalishwa kwenye kiwanda
cha kuzalishia chuma cha Uniqeu Steel Meel wakati waa ziara yake ya kukaagua maendeleo ya viwanda
mbalimbali jijini hapa ili kuona namna ya ufanisi wake na changamoto zinazowakabili.
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akiangalia ubora wa nondo zinazozalishwa
kwenye kiwanda cha kuzalishia chuma cha Uniqeu Steel Meel wakati waa ziara yake ya kukaagua maendeleo ya viwanda
mbalimbali jijini hapa ili kuona namna ya ufanisi wake na changamoto
zinazowakabili.
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kushoto akimuonyesha kitu
mmoja wa viongozi wa kiwanda cha kuzalishia chuma cha Uniqeu Steel Meel wakati
waa ziara yake ya kukaagua maendeleo ya
viwanda mbalimbali jijini hapa ili kuona namna ya ufanisi wake na changamoto
zinazowakabili
EmoticonEmoticon