Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiongea baada ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa
Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ)
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 26,
201
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akikagua gwaride la heshima linaloundwa na Maafisa
Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ)
kabla hajawatunuku kamisheni katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es
salaam leo Novemba 26, 201
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akiweka saini kwenye hati ya kamisheni kwa Maafisa
Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ)
kabla hajawatunuku katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo
Novemba 26, 2016
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiongea baada ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa
Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ)
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 26,
201,PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon