Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto katika
kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo
mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja
Viongozi
katika Wizara ya Viongozi katika Wizara ya
Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto wakiwa katika kikao
siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa
robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Waziri wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Cyrus Castico akisoma utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika
kikao siku moja cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya
mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) (kulia) Katibu
Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee.
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Bi.Fatma Gharibu Bilali (kulia) akifafanua vifungu vya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao siku moja cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),(kushoto) Mshauri wa Rais ushikiano wa Kimataifa,Fedha na Uchumi Ikulu Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (katikati) wakati akichangia katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja (kushoto) Waziri wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Cyrus Castico,
Mkurugenzi wa Ajira Ameir Ali Ameir katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto akielezea mifumo na utaratibu wa Ajira wakati katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 20/10 /2016.
EmoticonEmoticon