Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Kitema I wilayani Tandahimba
waliojitokeza kwa wingi kumlaki wakati akiwasili kwenye wilaya hiyo
ikiwa sehemu ya ziara yake mkoani Mtwara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa kwa burudani ya ngoma wakati akiwasili kwenye makao makuu ya wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa wilaya ya Tandahimba kwenye mkutano wa
hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Kiwanda cha kubangua korosho cha
AMAMA kilichopo wilayani Tandahimba mkoani Mtwara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi na Mdhibiti wa ubora wa
bidhaa Bw. Karim Hassan (kushoto) ya hatua mbali mbali ambazo korosho
hupitia wakati wa kubanguliwa kwenye kiwanda cha AMAMA kilichopo
Tandahimba mkoani Mtwara.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
EmoticonEmoticon