Meneja
Masoko, Utafiti na Maendeleo wa Bank of Africa (BOA), Bw. Muganyizi
Bisheko akionesha card aina ya PROXIMA iliyozinduliwa leo jijini Dar es
Salaam. Benki ya Afrika (BOA) imezindua kadi mbili TOUCAN VISA CARD na
PROXMA VISA CARD ambazo zinasaidia kulinda usalama wa mteja tofauti na
zilizokuwa zimetolewa mwanzo. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Njia
Mbadala za Huduma za Kibenki Kidigital wa Bank of Africa (BOA), Bw.
Emmanuel Mshindo. Picha na Emmanuel Massaka wa Blogu ya Jamii.
Mkuu
wa Kitengo cha Njia Mbadala za Huduma za Kibenk Kidigital wa Bank of
Africa (BOA), Bw. Emmanuel Mshindo akionyesha kadi aina ya TOUCAN
iliyotolewa na benki ya Afrika (BOA). Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha
Wafanyabiashara Wadogo, Bw. Kaisha Boge. Mkuu
wa Kitengo cha Wafanyabiashara Wadogo, Bw. Kaisha Boge (katikati)
akizielezea kadi hizo zilizotolewa nabenki ya Afrika (BOA) mapema leo
jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.