Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed
akitoa hotuba ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi
Michenzani Mjini Unguja leo,
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar
akitoa maelzo kuhusu Tamasha la Mzanzibari wakati wa Ufunguzi wa tamasha
hilo lililofunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya mnara wa
kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar.
Wasanii
mbali walioimba wimbo wa Kipindupindu mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed wakati wa Ufunguzi wa
Tamasha la Mzanzibar liliofungulia leo kwa niaba ya Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Wasanii
wa Jeshi la mafunzo Zanzibar wakicheza ngoma ya Mkurungu yenye asili
yake kjijiji cha Nungwi Wilaya Kaskazini A.Unguja wakati wa ufunguzi wa
Tamasha la mzanzibari lililofunguliwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya
Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar.
Maafisa
mbali mbali na wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa
Tamasha la Mzanzibari wakifuatilia kwa makini hotubaya iliyotolewa leo
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud
Mohmamed kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
EmoticonEmoticon