Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akifuatilia kwa makini ufunguzi wa mkutano wa 27 kwa Wakuu wa Nchi na
Serikali wa Nchi Wanachama
wa Umoja wa Afrika AU ulioanza jana katika Ukumbu wa KCC mjini Kigali
Rwanda. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano
huo. (Picha na OMR)
EmoticonEmoticon