Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa
akizungumza na washiriki (hawapo pichani) wakati akifunga wa Kongamano
la Viongozi wastaafu wa Afrika 2016 (African Leadership Forum 2016)
lililoanza jana na kumalizika leo jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya
Hyatt Kilimanjaro.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Rais
Mstaafu wa Namibia Mh. Hifikepunye Pohamba akifuatilia mada katika
kongamano hilo Viongozi wastaafu wa Afrika 2016 (African Leadership
Forum 2016) lililoanza jana na kumalizika leo jijini Dar es salaam
Viongozi mbalimbali na washiriki wakiwa katika kongamano hilo lililomalizika leo.
Viongozi na washiriki pa oja na waalikwa wakiendelea na kongamano hilo le kabla ya kumalizika na kufungwa rasmi leo.
Rais
Mstaafu wa Tanzania Mh Benjamin William Mkapa katikati akiwa na Ali
Mufuruki mmoja wa washiriki wa kongamano hilo pamoja na Dk. Elsie Kanza
wakifuatilia mada katika kongamano hilo.
Rais Mstaafu wa Msumbiji Mh. Armando Guebuza kulia ni miongoni mwa marais wastaafu waliohudhuria katika kongamano hilo.
Rais
Mstaafu wa Afrika Kusini Mh. Thabo Mbeki akizungumza na kutoa mchango
wake kuhusu masuala ya kiuchumi katika kongamano hilo.
EmoticonEmoticon