Waziri Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa Habari Mkoani Tanga mara baada ya kutembelea eneo la Zed B ambapo wamehamia wananchi wa Mtaa wa Kibatini kulipotokea mauaji wa watu wanane kwa kuchinjwa ambapo aliongozana na wabunge wa mkoa wa Tanga kuwapa pole wahanga wa tukio hilo kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso na kulia ni Katibu wa CCM wilaya ya Tanga,Lucia Mwiru
Waziri Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akitazama vitu vya wahanga wa tukio la mauaji lililotokea kijiji cha kibatini juzi akiwa na wabunge wa mkoa wa Tanga kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Muheza,Balozi Adadi Rajabu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Mambo ya Nchi za Nje na Ndani
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Mustapha Selebosi akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya wabunge wa mkoa wa Tanga kutembelea wananchi waliohamia eneo la Zed B baada ya kuhama makazi yao ya Mtaa wa Kibatini kutokana na kutoka mauaji ya watu wanane waliochinjwa juzi na watu wasiojulikana
Waziri Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimuakiwapa pole mmoja wa wafiwa katika tukio hilo la mauaji
Waziri Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katika akiwa na mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso wakimsikiliza mmmoja wa wajane waliwapoteza wanaume zao kwenye mauaji ya kinyama ya kuchinjwa watu wanane yaliyotokea mtaa wa kibatini jijini Tanga |