JUMUIYA YA UMOJA WA VIJANA YA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM)
MKOA WA TANGA INAWATANGAZIA WAFANYABIASHARA NA WATANZANIA WOTE KUWA WANAKODISHA
JENGO LAO LA BIASHARA LA MAJESTIC JIJINI TANGA
JENGO HILO LIPO ENEO ZURI KWA AJILI YA KUFANYIA BIASHARA NA
KUWEZA KUPATA MAFANIKIO KAMA ILIVYOKUWA MAENEO MENGINE.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA KWA SIMU NAMBA 0714113900.
AU 0716001191
NYOTE MNAKARIBISHWA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
EmoticonEmoticon