|
MKUU WA MKOA WA TANGA,MH.MARTINE SHIGELLA AKIZUNDUA UJENZI WA JENGO LA UPASUAJI (OPERATING THEATRE) KATIKA KITUO CHA AFYA MWERA LEO IJUMAA JUNE 3 WA KWANZA KULIA NI KAIMU MKUU WA WILAYA YA PANGANI AMBAYE PIA NI MKUU WA WILAYA YA MUHEZA ESTERINA KILASI |
KULIA NI MGANGA MFAWIDI WA KITUO CHA AFYA CHA MWERA WILAYANI PANGANI DR.MADARAKA RAPHAEL AKISISITIZA JAMBO KWA MKUU WA MKOA WA TANGA,MH.,MARTINE SHIGELLA WAKATI ALIPOTEMBELE UJENZI HUO KUSHOTO NI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA PANGANI,
|
MH.MKUU WA MKOA WA TANGA,MARTINE SHIGELLA AKISOMA JIWE LA MSINGI WA PILI KULIA NI KATIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA MHANDISI ZENA SAID |
|
MKUU WA MKOA WA TANGA,MH MARTINE SHIGELLA AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI WAKATI ALIPOFANYA ZIARA |
|
|
BAADHI YA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI WAKIMSIKILIZA KWA UMAKINI MKUU WA MKOA WA TANGA,MH,MARTINE SHIGELLA ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NAO LEO |
|
KATIKATI NI MKUU WA MKOA WA TANGA,MH,MARTINE SHIGELLA AKIVUKA NG'AMBO YA PILI YA PANGANI KWA KUTUMIA KIVUKO LEO WA MBELE YAKE NI KAIMU MKUU WA WILAYA YA PANGANI,MH,ESTERIA KILASI |
|
MKUU WA MKOA WA TANGA,MH.MARTINE SHIGELLA KATIKATI AKIINGIA KWENYE KIVUKO CHA MTO PANGANI KUSHOTO KWAKE NI KAIMU MKUU WA WILAYA YA PANGANI,ESTERIA KILASI AMBAYE NI MKUU WA WILAYA YA MUHEZA NA KULIA NI KATIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA,MHANDISI ZENA SAID |
Share this
EmoticonEmoticon