Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiteremka kwenye basi la mwendo kasi baada ya kupanda na kujionea ubora
na uzuri wa mabasi hayo ambayo yamerahisisha usafiri kwa wakazi wa jiji
la Dar es Salaam.( Picna na OMR)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza wakati wa shughuli ya kukabidhi Futari na Chakula kwa
watu wenye mahitaji maalum katika ofisi za UDA-RT Jangwani jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki dua maalumu wakati wa shughuli ya kukabidhi Futari na Chakula kwa watu wenye mahitaji maalum katika ofisi za UDA-RT Jangwani jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiongoza dua hiyo Mussa Salum .
watu wenye mahitaji maalum katika ofisi za UDA-RT Jangwani jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki dua maalumu wakati wa shughuli ya kukabidhi Futari na Chakula kwa watu wenye mahitaji maalum katika ofisi za UDA-RT Jangwani jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiongoza dua hiyo Mussa Salum .
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimkabidhi Futari Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Baraza la
Waislam mkoa wa Dar es Salaam Bibi Pili Abdala Mwale wakati wa shughuli
hiyo maalum ya kukabidhi furati na chakula kwa watu wenye mahitaji
maalum, Jangwani jijini Dar es salaam.( Picna na OMR)
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Wanawake wa Baraza la Waislam mkoa wa Dar es Salaam Bibi
Pili Abdala Mwaleakitoa neno la shukrani kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya shughuli
ya kukabidhi futari na chakula kwa watu wenye mahitaji maalum
kukamilika.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa ndani ya moja ya mabasi ya mradi wa mabasi ya mwendo kasi ya
UDA-RT jijini Dar es salaam ambayo kwa kiasi kikubwa yamerahisisha
usafiri na kutaka wananchi kuyatunza mabasi hayo.
EmoticonEmoticon