Pichani
ni Muonekano wa Barabara ya kutoka Mbeya kuelekea Tunduma mpaka Mkoani
Rukwa, na hiki ni Kipande Kidogo cha Njia panda ya Mlowo Mbozi Mkoani
Songwe kama ambavyo kinaonekana katika Taswira ni chenye Kumeremeta.
Hiki
pia ni kipande Kidogo cha Barabara hiyo ya Mbeya Tunduma na hapa pia ni
Njia panda ya kuelekea Vwawa ni mara baada ya kutoka Mlowo Mbozi Mkoani
Songwe.
Baadhi ya Wafanya Bishara Wa Kuza Matunda Wakiwa katika Kilinge chao Cha kufanyia Biashara Zao eneo la Mpemba Wilayani Momba..
Wataalamu wa kuendesha Gari Ng'ombe wakiwa Sambamba na Gari lao Kando kando ya Barabara hiyo..
Gari Ng'ombe likianza Safari ya kuchanja Mbuga...
Baadhi ya Wakazi wa Eneo la Mlowo Mbozi wakiwa Wamekaa Kando Kando ya Barabara hiyo bira kuwa na Hofu Ya Kuogopa Magari.
EmoticonEmoticon