Majaliwa ahudhuria sherehe za kumsimika askofu Geita

June 13, 2016

ASK1 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Askofu wa Jimbo la Geita , Mhashamu Flavian Kassala  katika Ibada ya kusimika Askofu huyo iliyofanyika kwenye Kanisa Katoliki la Geita Juni 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
ASK2 
Waziri Mkuu, Kassim Maliwa akiwapungia waumini wa Kanisa katoliki  jimbo la Geita baada ya kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu wa jimbo hilo, Flavian Kassala  zilizofanyika mjini Geita Juni 12, 2016. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Geita na Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MAJLI 
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa Kanisa katoliki katika sherehe za kumsimika Askofu wa jimbo la Geita, Flavian Kassala  (kushoto kwake) zilizofanyika kwenye kanisa kuu katoliki mjini Geita Juni 12, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »