Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Mhe Jenista
Mhagama (kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari mwishoni mwa
wiki mjini Dodoma kuhusu hali ya dawa za kulevya nchini ya mwaka 2014 na
jinsi dawa hizo zinavyoathiri afya na nguvu kazi ya taifa. Kulia ni
Mfamasia Sehemu Elimu, Habari na Takwimu Tume ya Kuratibu Udhibiti wa
Dawa za kulevya nchini Amani Masami.
Waandishi
wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Uratibu na Bunge, Mhe Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati akitoa
taarifa ya hali ya dawa za kulevya nchini ya mwaka 2014 kwa waandishi wa
habari mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.
(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma)
EmoticonEmoticon