Naibu
Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) Selemani Jafo akiingia ukumbi wa Bunge siku ya kupitishwa
bajeti ya Wizara hiyo mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
Waziri
wa nchini, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) George Simbachawene akitoa hoja ili Bunge liidhinishe na
kupitisha bajeti ya mwaka 2016/2017 ya Wizara hiyo mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) Selemani Jafo akijibu hoja zilizoelekezwa na Wabunge kwenye
Wizara hiyo kabla Bunge kuidhinisha na kupitisha bajeti ya mwaka
2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Angellah Kairuki akitoa
hoja ili Bunge liidhinishe na kupitisha bajeti ya Wizara hiyo ya mwaka
2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Philip Mpango akitoa ufafanuzi kuhusu
masuala mbalimbali yanayohusu fedha za Serikali wakati wa kupitisha
bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI), Utumishi na Utawala Bora ya mwaka 2016/2017 mwishoni wa wiki
mjini Dodoma.
Wabunge
wakiendelea na kikao cha Bunge cha bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Utumishi na Utawala Bora ya mwaka
2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
EmoticonEmoticon