Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Spika wa
Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid mara alipowasili katika
viwanja vya jengo la Baraza hilo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo
kuzinduz Baraza la 9, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya Heshma ya
gwaride la kikosi cha FFU wakati wa Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la
Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo,[Picha na
Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la kikosi
cha FFU akiongozwa na Kamanda wa FFU Mjini Magharibi S.S.P Anani wakati
wa Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje
ya Mji wa Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni
katika Ofisi ya Baraza la Wawakilishi alipofika kulizindua Baraza la 9
la Baraza la 9 la Wawakilishi Baraza la liliopo Mbweni nje ya Mji wa
Zanzibar leo(kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali
Maulid,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akiongoza na Spika
wa Baraza la Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid (mbele)na Katibu wa
Baraza hilo wakati wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Mbeni nje ya Mji wa Zanzibar leo kabla ya kulizindua baraza hilo la
9,[Picha na Ikulu.]
Wajumbe wa baraza la Wawakilishi
wakisimama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipoingia katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar kabla ya
kulizindua baraza la 9 leo, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake
leo katika uzinduzi wa Baraza la 9 katika hafla iliyofanyika katika
ukumbi wa baraza hilo liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar, [Picha na
Ikulu.]
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein akiwapungia mkono Wajumbe wakati alipotambulishwa leo
akiwa ni miongoni wa Viongozi walioalikwa katika hafla ya uzinduzi wa
Baraza la 9 la baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa
Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika uzinduzi wa
Baraza la 9 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa baraza hilo
liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
EmoticonEmoticon