Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Chuo cha
Mabaharia cha Dar es Salaam (DMI) Eng. Yassin Songoro katika ziara yake
ya kukagua Chuo hicho jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Mabaharia cha
Dar es Salaam (DMI) Eng. Yassin Songoro (katikati) akimuongoza Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kukagua madarasa
ya Chuo hicho.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akikagua dira ya kuongozea meli
(compass) katika moja ya darasa la Chuo hicho. Kulia ni Mkuu wa Chuo cha
DMI Eng. Yassin Songoro.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (mwenye tai) akikagua mitambo ya
kuongozea meli katika moja ya madarasa ya chuo cha DMI wakati wa ziara
yake chuoni hapo.
EmoticonEmoticon