Naibu
Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Eng.
Stella Manyanya(kushoto)akimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus
Nkwera(kulia)Wakati alipotembelea chumba cha maktaba ya kutunzia nyaraka
alipofanya ziara maalumu ya kikazi,Makao makuu ya baraza hilo jijini
Dar es Salaam.Wapili toka kushoto Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara hiyo
Eng.Enock Kayani na Mratibu wa maktaba ya Nacte, Clara Kihombo.
Naibu
Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Eng.
Stella Manyanya(kushoto)akimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus
Nkwera(kulia)Wakati alipotembelea chumba cha maktaba ya kutunzia nyaraka
alipofanya ziara maalumu ya kikazi,Makao makuu ya baraza hilo jijini
Dar es Salaam kujua maendeleo ya utendaji wa baraza hilo,katika Mratibu
wa maktaba hiyo, Clara Kihombo.
Naibu
Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Eng.
Stella Manyanya akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara
maalumu ya kikazi,Makao makuu ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
(NACTE) jijini Dar es Salaam kujionea maendeleo ya utendaji wa baraza
hilo.
Naibu
Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Eng.
Stella Manyanya(katikati) akiteta jambo na Katibu Mtendaji wa Baraza la
Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwera(kulia)Wakati
alipofanya ziara maalumu ya kikazi,Makao makuu ya baraza hilo jijini Dar
es Salaam, kujionea maendeleo ya utendaji wa baraza hilo,kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara hiyo Eng.Enock Kayani.
Naibu
Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Eng.
Stella Manyanya(wapili kulia)akimsikiliza Vicent Jacob Mtaalam wa
Mtandao wa Udhibiti wa Utoaji wa vyeti vya Satifiketi na Diploma kwa
Baraza la Taifa na Ufundi(Nacte) wakati alipofanya ziara maalumu ya
kikazi,Makao makuu ya baraza hilo jijini Dar es Salaam, kujionea
maendeleo ya utendaji wa baraza hilo.Watatu toka kulia Katibu Mtendaji
wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwera.
Naibu
Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia,Ufundi na Mafunzo ya Ufundi,Eng.
Stella Manyanya(kushoto)akimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus
Nkwera(kulia)Wakati alipotembelea chumba cha maktaba ya kutunzia nyaraka
alipofanya ziara maalumu ya kikazi,Makao makuu ya baraza hilo jijini
Dar es Salaam kujua maendeleo ya utendaji wa baraza hilo,Wapili kushoto
ni Mkurugenzi Msaidizi Wizara hiyo Eng.Enock Kayani.
EmoticonEmoticon