Maelfu ya wakazi wa Moshi na wanariadha mbalimbali wakifuatilia mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushirika Mjini Moshi |
Wanariadha wa Tigo Kili half Marathon wakisubiri kuanza mbio katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi |
Meneja chapa Tigo, William Mpinga akimalizia mbio za kilometa 21 katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi |
Mzee mwenye Umri wa miaka 70 akiungana na wanariadha wenzake katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi |
Wanariadha mbalimbali wakikimbia katika katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi |
Meneja mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akimaliza mbio za kilomita 42 za kili marathon katika mashindano yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha ushirika Mjini Moshi jana |
.Meneja mkuu wa Tigo , Diego Gutierrez akipongezwa na mkiambiaji wenzie Mara baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro marathon za kilomita 42 katika mashindano yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha ushirika Mjini Moshi jana |
Waziri wa habari, utamaduni, Sanaa na michezo Mhe. Nape mnauye akimkabidhi akimkabidhi hundi ya sh Milion 2 Bernard Matheka (mkenya miaka 27) baada ya kuibuka mshindi kwa upande wa wanaume katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon kwa kukimbia kilometa 21 na kutumia saa 1.14.55 katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi
Baadhi ya washiriki waliopata bahati ya kuzawadiwa na Tigo kwenye mbio za Kili Marathon katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi
|
EmoticonEmoticon