Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kulia), akipokelewa na
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Ilala, SACP Lucas Mkondya, alipofika kufunga
kikao kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza wakati wa
kufunga kikao kazi cha Maafisa Maandamizi wa Jeshi la Polisi katika
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es
Salaam. Wapili kulia meza kuu ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP
Ernest Mangu.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
IGP Ernest Mangu, akizungumza na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi
nchini wakati wa kufungwa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa hao uliofanyika
katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (wanne kushoto
waliokaa), Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu (kushoto kwa Katibu
Mkuu) wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la
Polisi, mara baada ya kufungwa Mkutano wao wa Mwaka uliofanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es
Salaam. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
EmoticonEmoticon