kulia ni mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava akiwa na baadhi ya viongozi wa uwanja wa samora.
na fredy mgunda,iringa
Chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa (IRFA) kiko mbioni kujenga uwanja wake wa kisasa utakaosaidia kuendeshea ligi mbalimbali zikiwemo ligi za kimataifa hali itakayosaidia kuinua soka la mkoa huo .

Akizungumza ofisini kwake mwenyekiti wa chama cha
mpira wa miguu mkoa wa Iringa Cyprian
Kuyava alisema wameamua kujenga uwanja wao ili kuepukana na adha wanayopata kutokana na
kukosa sehemu ya kuendeshea ligi
mbalimbali .
Alisema tayari wameshapata eneo la hekari 14 katika eneo la
kitwiru ndani ya manispaa ya Iringa na
sasa kinachosubiriwa ni kumaliza mazungumzo kati ya chama hicho na manispa ya Iringa
ili kuweza kumilikishwa eneo hilo ili liwe mali yao kabisa tofauti na apo awali
ambao manispaa hiyo ilikuwa inataka kuingia nao ubia
“Tayari hili swala liko katika hatua za mwisho na tayari
tumesha fanya mazungumzo tunataka
tujenge uwanja wetu wenyewe wa
kisasa ambao tunaweza kucheza mechi za kimataifa kwani tumekuwa tukipata tabu ya viwanja vya
kuchezea na hii imechangia kwa kiasi kikubwa kuuwa soka la mkoa wetu ”alisema
Kuyava
Alisema wanasubiri majibu ya maombi waliyopeleka katika
manispaa hiyo ili kuweza kupunguziwa bei li kuanza mchakato wa kulipa fidia kwa
wamiliki wa maeneo hayo ili waanze mchakato wa uwanja huo wa kisasa .
Alisema kuwa mara nyingi timu zimekuwa hazi pati kitu wanapotumia viwanja vya watu kwani asilimia 16 za mapato yanayopatikana
kutokana na kingilio huchukuliwa na wamilika wa kiwanja na asilimia ndogo inabaki ndio
zinagawanywa katika maeno mengine na kujikuta timu hazinufaiki na chochote .
Alisema kuwa hapo awali walikuwa wakitumia uwanja wa samora ambao
bado uko katika matengenezo tena ya kusuasu kwa kuwa mpaka sasa bado wanadai
kusubiri nyasi za kupanda jambo litakalorudisha michezo nyuma endapo hawatakuwa
na maono ya kuwa na kiwanja chao wenyewe .
Kwa upande wa wadau wa soka mkoa wa Iringa Ally salehe ambaye
pia ni shabiki wa timu ya lipuli anasema kuwa endapo juhudi za makusudi
zitafanyika na kufanikisha ujenzi wa uwanja huo basi ni dhahiri kuwa soka la
mkoa wa iringa litapanda kwa kiasi
kikubwa .
Alisema kuwa katika mkoa wa Iringa kuna vipaji vingi vya
michezo ikiwemo wachezaji wa mpira wa
miguu lakini wamekuwa wakikosa sehemu za kufanyia mazoezi ili kukuza vipaji
vyao hivyo kujengwa kwa uwanja huo wa
kisasa utafungua fursa za ajira kwa vijana wengi.
span style="font-family: "georgia" , "times new roman" , serif;">

EmoticonEmoticon