 |
Mkazi wa Malindi Salim Salim akipokea zawadi ya Tisheti kutoka kwa mfanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar Moses Kalyata wakati wa siku ya maadhimisho ya mapinduzi ya visiwani humoHE |
 |
Mkazi wa Bumbwini Ally Said akikabidhiwa zawadi ya Kofia na Magnus Saulo mmoja wa wafanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar ikiwa ni moja ya shughuli zilizofanyika katika sherehe za mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika jana nchini humo |
 |
Mkazi wa Bububu Rashid Salehe Akipokea zawadi ya kofia kutoka kwa mfanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar Magnus Saulo kama moja ya shughuli zilizofanyika jana wakati wa maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar |
 |
Mkazi wa Malindi akipokea zawadi ya Tisheti kwa mmoja wa wafanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar Moses Kalyata katika moja zilizofanyika katika maadhimisho ya siku ya mapinduzi jana visiwani humo |
 |
Vinywaji na chakula vikiwa vimeandaliwa tayari kwa ajili ya wateja wote waliotembelea duka la tigo linalopatikana Mtaa wa Malindi Zanzibar katika maadhimisho ya siku ya Mapinduzi visiwani humo |
photo
Krantz Mwanteple
C.E.O & Founder, MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA
Phone: +255-712579102 /+255-767392840
Email: krantzcharles@gmail.com
Website: www.mwanaharakatimzalendo.blogspot.com
Whatsapp: 0712579102
"HABARI MAKINI KWA WATU MAKINI"
Share this
EmoticonEmoticon