PICHA:TAZAMA BOTI TATU ZENYE MALI ZA MAGENDO ZILIVYOKAMATWA KIGOMBE,PANGANI OSCAR ASSENGA January 20, 2016 OSCAR ASSENGA Polisi Mkoani Tanga kwa kushirikiana na kikosi cha Marine imekamata mashua tatu zinazoaminika kutoka Zanzibar zikiwa zimesheheni mali za magendo ya mamilioni ya fedha bandari bubu ya Kigombe nje kidogo ya jiji la Tanga. Share this Author : OSCAR ASSENGA Related Posts
EmoticonEmoticon