Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na balozi wa Kuwait hapa
nchini Mhe. Jasem Al Najem Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23,
2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na balozi wa Kuwait hapa
nchini Mhe. Jasem Al Najem Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23,
2015
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza balozi wa Kuwait hapa
nchini Mhe. Jasem Al Najem baada ya kuwa na mazungumzo naye Ikulu jijini
Dar es salaam leo Disemba 23, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais
Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo
Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais Paul
Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe.
Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza Mjumbe Maalum wa Rais Paul
Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe.
Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015. Nyuma
yao ni Balozi wa Rwanda nchini Mhe
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na balozi wa Uswisi hapa nchini
Mhe. Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na balozi wa Uswisi hapa nchini
Mhe. Florence Tinguely baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
leo Disemba 23, 2015.PICHA NA IKULU.
EmoticonEmoticon