Mkuu
wa mkoa wa kilimanjaro aongoza Harambee ya ujenzi wa kanisa la KKKT
usharika wa Lyamungo kati. Fedha shilingi milioni 60 zimechangwa na
Fedha zinatakiwa kukamilisha ujenzi ni sh milioni 100
Amewapongeza kwa wote waliochangia na zilizobaki milioni 40 Harambee nyingine itapangwa.
EmoticonEmoticon