Sehemu ya chakula mchele,unga na maharage tani 3.9,mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5,kilichotolewa na kampuni ya mtandao wa simu za mkononi wa Tigo kwa kituo cha kulelea watoto yatima na wenye albinism cha Buhangija mkoani Shinyanga
|
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ali Maswanya akiwakabidhi sehemu
ya msaada kwa watoto yatima na wenye albinism katika kituo cha Buhangija mkoani Shinyanga,ambapo
walitoa mchele,unga na maharage tani 3.9,mafuta
ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5
|
Watoto yatima na wenye
albinism cha Buhangija mkoani Shinyanga,wakicheza kwenye tufe la
tigo,baada ya kupokea msaada wa chakula,ambapo wafanyakazi wa tigo
walitoa
mchele,unga na maharage tani 3.9,mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5 |
Watoto yatima na wenye albinism cha Buhangija
mkoani
Shinyanga,wakiwa wamevaa fulana za tigo,baada ya kupokea msaada wa chakula,ambapo wafanyakazi wa tigo walitoa mchele,unga na maharage tani 3.9,mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5 |
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ali Maswanya akizungumza na watoto yatima na wenye albinism katika kituo cha
Buhangija mkoani Shinyanga wakati wa kutoa msaada
kwenye kituo cha kulelea ,ambapo mchele,unga na maharage tani
3.9,mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5,kushoto ni
Meneja wa Tigo mikoa ya Shinyanga,Tabora na Kigoma Kamara
Kalembo na Meneja Huduma kwa wateja kanda ya ziwa Beatrice
Kinabo(kulia)
|
EmoticonEmoticon