Afisa mwelekezi wa wa Programu ya
kukuza Ajira zenye staha kwa Vijana Dar es Salaam,kupitia Elimu ya
Biashara na Ujasiriamali. Bi. Emiliana Muchu akiwasilisha mada kuhusu
mafanikio ya program hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam wakati wa
mkutano wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Picha na Frank
Shija, WHVUM
Meneja wa Programu ya kukuza
Ajira zenye staha kwa Vijana Dar es Salaam Bibi. Maria Fustiniano (
wapili kutoka kulia) akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kamati ya
wadau wa program hiyo uliofanyika mapema wikiendi hii jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
True Maisha Bw. Erick Crispin akiwasilisha mada namna taasisi yake
inavyofanya shughuli zake katika kutoa mafunzo kwa Vijana hivi karibuni
jijini Dar es Salaam
EmoticonEmoticon