-Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC)
Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan Jijini
Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika ajali jana.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili
wakati alipofanya ziara ya kushtukiza hospitalini hap oleo na kuwafariji
wagonjwa.
-Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akisalimiana na kuwapa moyo wauguzi katika hospitali ya taifa Muhimbili
wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akizungumza na kuwapa moyo wauguzi katika hospitali ya taifa Muhimbili
wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.
-Rais Dkt.john Pombe Magufuli
akiondoka katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya
ghafa kujionea hali halisi.
(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.john Pombe Magufuli
akisalimiana na mmoja wa akina mama aliyelazwa na mtoto wake katika
hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea
hali halisi.
EmoticonEmoticon