Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na
Sophia Simba kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma, wakati wa hafla fupi
ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia
Bunge jana jioni Nov 20, 2015.
Waziri Mkuu wa awamu ya Tano, Mhe.
Majaliwa Kassim Majaliwa, akizungumza jambo na Rais staafu wa awamu ya
sita wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakati wa hafla fupi ya Coktail
(Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana
jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya
Viongozi wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya
Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja
vya Bunge mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Waziri
Mkuu mstaafu, Joseph Warioba wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo)
iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20,
2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Rais Magufuli (katikati)
akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar, Mohamed Ali Shein (kushoto) na
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla fupi
ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia
Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mbunge
wa Shinyanga mjini, Stephen Masele, wakati wa hafla fupi ya Coktail
(Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana
jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo
na baadhi ya viongozi wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo)
iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20,
2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na mmoja
kati ya wageni waalikwa wa Kimataifa, wakati wa hafla fupi ya Coktail
(Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana
jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Vijana
wa UVCCM, wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada
ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye
Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mkuu wa
Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa, Spika wa Bunge, Job Ndugai na Katibu
wake, baada ya hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya
Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja
vya Bunge mjini Dodoma.
Picha na OMR
EmoticonEmoticon